|
(suis endormi) |
Tena Upesi iwezekanavyo Mara moja Mbaya, mbaya zaidi kuliko... Unaweza kunisaidia ? Unaweza kuniambia ? Njoo hapa. Karibu. Unasema kiingereza Unataka... Pole, nisamehe, samahani Njema, njema zaidi kuliko... Hapa. Pale Anatoka... Saidia ! moto ! mwizi ! Namna gani ? Muda gani ? Unasemaje... Unnaandikaje " jamaa " ? Kiasi gani ? Nina kazi. Natoka Ulaya Naona njaa (kiu) (usingizi) Nina ugonjwa (Siwezi). Niko mgonjwa Nina haraka Natafuta... Sina haraka Nina sikitiko. Nasikitika Nimechoka Nina furaha sana. Ninafurahi sana Nina joto (baridi).Naona joto (baridi) Sijui Sidhani Sifahamu Najua Ningependa... Nasema kiingereza tu Nadhani Nafahamu Ni sawa Ni mapema Hakuna kitu ndani Imejaa Ni kosa langu Ni mpya Si sawa Si kosa langu Ni kuukuu. Imechakaa Saa imekwisha Choo cha wanawake Sikia. Tazama Angolia ! Choo cha wanaume Anwani yangu ni ... Sasa, sasa hivi Tafadhali useme polepole Tafadhali... Upesi, upesi zaidi Naomba, useme tena Pole, polepole Bado kidogo, halafu Asante (sana) Ngoja kidogo Unataka nini ? Kuna nini hapa ...ni wapi ? Nani ? nini ? Ni kosa la nani ?Kwa nini ? Lini ? Tafadhali uandike Ndiyo. Hapana. Labda Karibu |
|
|
Rafiki zangu wamenpotea. Nimepotea. Nakaa katika...hoteli. Nimeacha mapesa yangu katika... Nimepoteza mapesa yangu. Nimesahau mapesa (ufunguo). Nimechelewa gari moshi (ndege). Nifanyeje ? Ulisema bei ni ... Wananisumbua (wanatusu-mbua). Nenda zako. Nitamwita polisi. Nimeibiwa... Hii inaitwaje kwa kiswahili ? Kituo cha polisi ni wapi ? |
|
|
Jambo. Shikamoo |
|
(utilisé par le subordonné envers le supérieur qui répond marahaba). |
|
|
|
Jambo. Shikamoo |
|
(utilisé par le subordonné). |
|
|
|
Jambo. Shikamoo |
|
(utilisé par le subordonné). |
|
|
|
Ulale salama. Usiku mwema. Kwa heri. Kwa heri ya kuonana. Jina langu ni ... Jina lako nani ? Nikujulishe bwana... Bibi..., Bi... ? Mke wangu, mume wangu. Binti wangu, mtoto wangu. Rafiki yangu. Dada yangu, kaka zangu. Ninafurahi kukuona. Habari gani ? Nzuri, asante. Na habari za kwako ? Hawajambo nyumbani ? Mama na watoto hawajambo ? Si wazima sana wanaumwa. Ni wazima tu. Hawajambo sana. Kalia kiti, tafadhali. Kaa kitako, tafadhali. Nimependezwa sana. Natumaini tutaonana tena (mapema). Njoo kutuamkia. Una nafasi mchana huu (jioni hii) ? Unipe anwani yako. Umsalimie... Nakwenda dukani. Nakwenda kula. |
|
|
Bandari Stesheni, kituo cha gari la Moshi Wanapouza tikiti Tikiti, orodha ya saa Mpagazi Chumba cha luweka mizigo Tutafika...lini ? Tafadhali uniitie taxi Kuna mtu hapa ? Naweza kupata kiti cha mbele Kiti karibu na dirisha Hii ni njia (fupi) kwenda... ? Mpaka tufike itachukua muda gani ? Niende upande gani ? Kaskazini, kusini Toka mashariki, magharibi Moja kwa moja Kushoto (kulia) Mbele, nyuma Huu ni mtaa gani ? Kiwanja Onyesha tafadhali Lazima nibadili ? Uniambie nitelemke wapi |
|
|
Tikiti kwa kwenda... Ni kiasi gani ?
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
Poste
Banque |
Posta
Banki |
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
Des références et liens vers des sites Franco/Swahili :
Liens Francophones:
"DESTINATION TANGANYIKA !"/Benoît Jonas/2001-2010.